Kurasa kwa Kiswahili

Nchini Ubelgiji, Kiholanzi, Kifaransa na Kijerumani ni lugha za kitaifa, lakini lugha nyingi pia huzungumzwa na wakazi wa mataifa mbalimbali wanaoishi nchini humo.
Katika eklesia ya Anderlecht tunatumai kunufaisha jamii inayozungumza Kiswahili.